 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiomba dua pamoja na Wanafamilia wa Marehemu Mzee Mussa
Abdulrahman aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar.
Rais Samia alifika kutoa pole msibani Kwahani Mchangamwingi Zanzibar tarehe 16
Aprili, 2024. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole na
kumfariji Bi. Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman
ambaye alikuwa rafiki wa familia na Jirani wa karibu aliyefariki dunia usiku wa
kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar. Rais Samia alifika kutoa pole msibani
Kwahani Mchangamwingi Zanzibar tarehe 16 Aprili, 2024.
 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimfariji Bi.
Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye
alikuwa rafiki wa familia na Jirani wa karibu aliyefariki dunia usiku wa
kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar, kushoto ni Mtoto wa Marehemu Bi. Fatma
Mussa Abdulrahman. Rais Samia alifika kutoa pole msibani Kwahani Mchangamwingi
Zanzibar tarehe 16 Aprili, 2024. |
No comments:
Post a Comment