SGR YAFANYA MAJARIBIO YA TRENI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 26 February 2024

SGR YAFANYA MAJARIBIO YA TRENI

 




Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) ikipita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. 

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo ya SGR kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi Mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka Mkoani Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Mwezi wa Julai, 2024.

No comments:

Post a Comment