Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.
Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024.
MWANZA KINARA KATIKA USIMAMIZI WA MAAFA
-
*Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mheshimiwa Said Mtanda akizungumza wakati wa
ufunguzi wa mafunzo ya Kamati za Usimamizi wa Maafa kwa mkoa wake,
yaliyoratibiwa na...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment