![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Viongozi wa dini wakiongoza ibada ya mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa akisali mbele ya jeneza lenye mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |
![]() |
| Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. |

.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)

No comments:
Post a Comment