RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA POLAND IKULU DAR ES SALAAM - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 9 February 2024

RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA POLAND IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda  wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.




No comments:

Post a Comment