MPANGO WA MAFUNZO KWA VITENDO WA ERB, KUWANOA WAPYA 350...! - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 28 February 2024

MPANGO WA MAFUNZO KWA VITENDO WA ERB, KUWANOA WAPYA 350...!

Msajili wa Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB), Eng. Bernard Kavishe akielezea namba vijana wapya wa fani ya uhandisi watakavyonufaika na Mpango wa mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wahitimu (SEAP) unaoratibiwa na Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB) pamoja na wadau wanufaika wa program hiyo. Eng. Bernard Kavishe akizungumza katika hafla ya ufungaji wa semina elekezi kwa wanafunzi wapya.

Sehemu ya wanafunzi wapya wa fani ya uhandisi walioingia katika Mpango wa mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wahitimu (SEAP) unaoratibiwa na Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu kwenye hafla ya ufungaji wa semina elekezi kwa wanufaika wapya wa mpango huo leo jijini Dar es Salaam.

Mrajis Msaidizi wa AEQSRB-Zanzibar, Arch. Samir Hadad Khamis akizungumza katika hafla ya ufungaji wa Mpango wa mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wahitimu (SEAP) unaoratibiwa na Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB) leo jijini Dar es Salaam.

Hafla ya ufungaji wa Mpango wa mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wahitimu (SEAP) unaoratibiwa na Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB) ikiendelea leo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Chama cha Wahandisi Tanzania (IET), Dr. Gemma Modu akizungumza na wanafunzi wapya wa fani ya uhandisi walioingia katika Mpango wa mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wahitimu (SEAP) unaoratibiwa na Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB) wakati akifunga semina elekezi kwa wanufaika wa mpango huo leo jijini Dar es Salaam.

Meza kuu katika hafla ya ufungaji wakifuatilia hotuba anuai katika hafla hiyo.

Msajili wa Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB), Eng. Bernard Kavishe akisisitiza jambo kwa vijana wapya wa fani ya uhandisi watakavyonufaika na Mpango wa mafunzo kwa vitendo kwa wahandisi wahitimu (SEAP) unaoratibiwa na Bodi ya Wakandarasi Tanzania (ERB) pamoja na wadau wanufaika wa program hiyo.

No comments:

Post a Comment