RAIS SAMIA AADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA KUONGOZA KAMPENI YA KUPANDA MITI ENEO LA DONGE MUWANDA ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 27 January 2024

RAIS SAMIA AADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA KUONGOZA KAMPENI YA KUPANDA MITI ENEO LA DONGE MUWANDA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Donge Muwanda mara baada ya kupanda mti pamoja na kukata keki wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Miti ya aina mbalimbali ikiwa imepandwa katika eneo la Donge Muwanda wakati wa kuadhimisha kumbukumbu ya tarehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Sheha wa Shehia ya Donge Muwanda, Abdallah Hambali wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Kijana George Joshua kutoka Green Samia wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Kijana Sabrina Said Soud kutoka Green Samia wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki mara baada ya kupanda mti eneo la Donge Muwanda, Zanzibar katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960.

Miti ya aina mbalimbali ikiwa imepandwa katika eneo la Donge Muwanda wakati wa kuadhimisha kumbukumbu ya tarehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Muembe Pembeni (Mangifera indica) katika eneo la Donge Muwanda, Zanzibar wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Upandaji miti ulifanyika katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Wananchi wa Donge Muwanda pamoja na Vijana kutoka sehemu mbalimbali wakiwa kwenye eneo la kupanda miti kuadhimisha siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Januari, 2024.

No comments:

Post a Comment