Kazi zikiendelea za ujenzi wa jengo la Wizara ya Ujenzi katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi Eng. Simeon Machibya, akitoa taarifa kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Ujenzi katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Januari 29, 2024.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akifafanua jambo kwa Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi na Mshauri Elekezi wa mradi kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaotekeleza ujenzi wa jengo la Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, Januari 29, 2024.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, wakikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Januari 29, 2024.
NBC Yatoa Mikopo ya Makazi kwa Wakulima 57
-
- Yaendelea kukabidhi Malori kwa Vyama vya Ushirika
Kufuatia hatua ya Serikali kukabidhi Shilingi bilioni 300 kwa taasisi saba
za kifedha, ikiwemo Benki...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment