RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANANG - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 8 December 2023

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANANG

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Hanang kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023. Rais Samia alifika Katesh kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa maeneo hayo ambao wameathirika na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waathirika wa Mafuriko waliopo kwenye kambi zao Katesh, Wilayani Hanang mkoani Manyara 


Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023


Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023



No comments:

Post a Comment