WAJUMBE WA KAMATI YA UKAGUZI YA WIZARA YA UJENZI WAKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 22 November 2023

WAJUMBE WA KAMATI YA UKAGUZI YA WIZARA YA UJENZI WAKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI)

Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Daraja la  J.P Magufuli (Kigongo-Busisi), lenye urefu wa kilometa 3.2 Jijini Mwanza.

Muonekano wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi), Jijini Mwanza ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 80.

Mhandisi Mshauri wa ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi), Mhandisi Abdulkarim Majuto, akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi wakati wakikagua utekelezaji wake, Jijini Mwanza.

Baadhi ya Wajumbe wa  Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi wakikagua ujenzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi), lenye urefu wa kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi kilometa 1.66, Jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment