DKT. NCHEMBA AMUAGA RAIS WA BURUNDI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 27 November 2023

DKT. NCHEMBA AMUAGA RAIS WA BURUNDI

 









Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akimuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha, ambapo katika Mkutano huo, Mhe. Ndayishimiye alimkabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir, baada ya kumaliza muda wake.

No comments:

Post a Comment