KASEKENYA AKAGUA BARABARA ZA SUMBAWANGA NA SONGWE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 4 October 2023

KASEKENYA AKAGUA BARABARA ZA SUMBAWANGA NA SONGWE

 

Mbunge wa jimbo la Kwela mkoani Rukwa Mhe. Deus Sangu akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya (hayupo pichani), alipokagua barabara ya Kalambazite-Ilemba KM 26 mkoani Rukwa ambayo upanuzi na ujenzi wa maeneo korofi unaendelea.

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Rukwa Eng. Mgeni Mwanga akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua barabara ya Kalambazite - Ilemba KM 26 mkoani Rukwa ambayo upanuzi na ujenzi wa maeneo korofi unaendelea.

Muonekano wa barabara ya Kalambazite-Ilemba KM 26 mkoani Rukwa ambayo upanuzi na ujenzi wa maeneo korofi unaendelea.

Muonekano wa barabara ya Kaengesa Seminary –Chitete KM 3.4 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea mkoani Rukwa.

No comments:

Post a Comment