RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA VIOO CHA SAPPHIRE FLOATING GLASS KILICHOPO MKURANGA, PWANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 21 September 2023

RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA VIOO CHA SAPPHIRE FLOATING GLASS KILICHOPO MKURANGA, PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

No comments:

Post a Comment