| Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi wa Jamii Bondi ya NMB hafla iliyofanyika Serena Hotel leo jijini Dar es Salaam. |
| Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhede akiwasilisha hotuba yake kwenye uzinduzi wa Jamii Bondi ya NMB hafla iliyofanyika Serena Hotel leo jijini Dar es Salaam. |
| Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), Ruth Zaipuna akizungumza kabla ya uzinduzi rasmi wa Jamii Bondi ya NMB hafla iliyofanyika Serena Hotel leo jijini Dar es Salaam. |
| Sehemu ya viongozi na wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi wa Jamii Bondi ya NMB hafla iliyofanyika Serena Hotel leo jijini Dar es Salaam. |
| Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi wa Jamii Bondi ya NMB hafla iliyofanyika Serena Hotel leo jijini Dar es Salaam. |
| Msajili wa Hazina, Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jamii Bondi ya NMB hafla iliyofanyika Serena Hotel leo jijini Dar es Salaam. |

No comments:
Post a Comment