NAIBU WAZIRI ENG. KASEKENYA AKIKAGUA UMADHUBUTI WA LAMI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 29 September 2023

NAIBU WAZIRI ENG. KASEKENYA AKIKAGUA UMADHUBUTI WA LAMI

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akikagua umadhubuti wa lami kwa kifaa maalum katika barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu KM 260.6 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea mkoani Kigoma.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akikagua daraja la Malagarasi linalojengwa sehemu ya Mvugwe-Nduta ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 96, katika barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu KM 260.6 mkoani Kigoma.

Muonekano wa daraja la Malagarasi linalojengwa sehemu ya Mvugwe-Nduta katika barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu KM 260.6.

Muonekano wa daraja la Malagarasi linalojengwa sehemu ya Mvugwe-Nduta katika barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu KM 260.6.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akikagua umadhubuti wa lami kwa kifaa maalum katika barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu KM 260.6 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea mkoani Kigoma.

Kazi ya ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu KM 260.6 kwa kiwango cha lami ikiendelea mkoani Kigoma.

No comments:

Post a Comment