KAFULILA AFUNGA KIKAOKAZI CHA WATAALAMU WA PPP - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 6 May 2023

KAFULILA AFUNGA KIKAOKAZI CHA WATAALAMU WA PPP

 

Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. David Kafulila, akizungumza wakati akifunga rasmi kikaokazi kati ya Serikali na Wataalam kutoka Taasisi ya Benki ya Dunia inayojihusisha na utoaji wa mikopo na misaada ya kiufundi kwa Sekta Binafsi - International Finance Corporation (IFC), kilicholenga kupitia na kujadili miradi ya kimkakati ambayo Serikali inataka itekelezwe kwa njia ya ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kilichofanyika kwa siku 5 katika Ukumbi wa  Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam.

Wadau mbalimbali wa masuala ya Ubia kutoka taasisi mbalimbali za Serikali wakimsikiliza kwa umakini Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. David Kafulila akifunga rasmi kikaokazi kilichofanyika kwa siku 5 kati ya wataalam hao wa Serikali na Wataalam kutoka Taasisi ya Benki ya Dunia inayojihusisha na utoaji wa mikopo na misaada ya kiufundi kwa Sekta Binafsi - International Finance Corporation (IFC), katika Ofisi Ndogo za Hazina Jijini Dar es Salaam, kikihusisha Serikali na Wataalam hao kutoka IFC.

No comments:

Post a Comment