RAIS SAMIA AZINDUWA MIRADI MBALIMBALI KIGOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 17 October 2022

RAIS SAMIA AZINDUWA MIRADI MBALIMBALI KIGOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Majengo mapya ya chuo cha Ualimu Kabanga, kilichopo Kasulu Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria kuzima Majenereta na kuzindua umeme wa Gridi ya Taifa kwa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Kasulu Mjini tarehe 17 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kufungua barabara ya Kidahwe-Kasulu (Km 63) katika Sherehe zilizofanyika Kasulu mjini Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment