RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUNZEWE, GEITA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 17 October 2022

RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUNZEWE, GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe wakati akihitimisha ziara yake Mkoani Geita leo tarehe 16 Oktoba, 2022.

Kijana mmoja wa Runzewe akiwa pamoja na wenzake wakati akisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika eneo la Runzewe Mkoani Geita leo tarehe 16 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kakonko mara baada ya kuwasili Mkoani Kigoma leo tarehe 16 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe wakati akihitimisha ziara yake Mkoani Geita leo tarehe 16 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe wakati akihitimisha ziara yake Mkoani Geita leo tarehe 16 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment