Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Christopher Kadio akisaini nyaraka za makabidhiano wakati wa hafla ya kumkabidhi ofisi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Maduhu Kazi baada ya kustaafu utumishi wa umma. Makabidhiano hayo yamefanyika Makao Makuu ya Wizara hiyo jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali waliopo katika Wizara hiyo. (Picha na Jeshi la Polisi)
WANAFUNZI WA MRIJO JUU WANUFAIKA NA MSAADA WA VIFAA VYA HEDHI KUIMARISHA
ELIMU YA WASICHANA
-
Na Janeth Raphael - MichuziTv
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mrijo Juu iliyopo wilayani
Chemba mkoani Dodoma wamepata nafuu ya changamoto zi...
3 minutes ago

.jpg)

No comments:
Post a Comment