RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA KATI YA TARURA NA WAKANDARASI WATAKAOTEKELEZA KAZI ZA UJENZI, UKARABATI NA MATENGENEZO YA MIUNDOMBINU KWA MWAKA 2022/23 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 14 August 2022

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA KATI YA TARURA NA WAKANDARASI WATAKAOTEKELEZA KAZI ZA UJENZI, UKARABATI NA MATENGENEZO YA MIUNDOMBINU KWA MWAKA 2022/23

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wakandarasi watakaotekeleza kazi za Ujenzi, Ukarabati na Matengenezo ya Miundombinu ya Barabara kwa mwaka 2022/23 kwenye Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba 10 kati ya 969 iliyofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 14 Agosti 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Utiaji Saini wa Mikataba 10 kati ya 969 ya TARURA na Wakandarasi watakaotekeleza kazi za Ujenzi, Ukarabati na Matengenezo ya Miundombinu ya Barabara kwa mwaka 2022/23. Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 14 Agosti 2022.



Baadhi ya Wakandarasi watakaotekeleza kazi za Ujenzi, Ukarabati na Matengenezo ya Miundombinu ya Barabara kwa mwaka 2022/23 wakitia Saini Mikataba 10 kati ya 969 katika Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 14 Agosti 2022.



Baadhi ya Wakandarasi watakaotekeleza kazi za Ujenzi, Ukarabati na Matengenezo ya Miundombinu ya Barabara kwa mwaka 2022/23 wakitia Saini Mikataba 10 kati ya 969 katika Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 14 Agosti 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wasanii wa Vikundi mbalimbali vya ngoma za Utamaduni alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Tanga tarehe 14 Agosti 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Tanga alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Tanga tarehe 14 Agosti 2022.

No comments:

Post a Comment