RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANAWAKE WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI NCHINI OMAN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 14 June 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANAWAKE WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI NCHINI OMAN

Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili yaliyofanyika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

No comments:

Post a Comment