RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI KUTOKA OFISI MBALIMBALI ZA SERIKALI JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 2 June 2022

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI KUTOKA OFISI MBALIMBALI ZA SERIKALI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Makatibu Mahsusi wa Ofisi mbalimbali za Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Kitaaluma uliondaliwa na Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) kwa ajili ya Makatibu hao nchini katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi Maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) Bi. Zuhura Songambele Maganga kabla ya kufungua Mkutano huo Mkuu wa Kitaaluma kwa Makatibu hao Mahsusi kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya Mawaziri, viongozi wa TAPSEA pamoja na Wasanii wa Chuo cha Utumishi wa Umma katika picha ya pamoja na Kwaya ya Utumishi wa Umma mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Kitaaluma uliondaliwa na Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

Viongozi pamoja na Makatibu Mahsusi wa Ofisi mbalimbali za Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Kitaaluma uliondaliwa na TAPSEA kwa ajili ya Makatibu hao nchini katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

Makatibu Mahsusi kutoka Ofisi mbalimbali za Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Kitaaluma uliondaliwa na Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

Baadhi ya Viongozi na Makatibu Mahsusi kutoka Ofisi mbalimbali za Serikali Tanzania Bara na Zanzibar wakicheza katika Sherehe ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma uliondaliwa na Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

Makatibu Mahsusi kutoka Ofisi mbalimbali za Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Kitaaluma uliondaliwa na Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma tarehe 02 Juni, 2022.

No comments:

Post a Comment