RAIS SAMIA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI MSIKITI MKUU WA BAKWATA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 3 May 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI MSIKITI MKUU WA BAKWATA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim mara baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022.

Waumini wa dini ya Kiislamu wakishiriki Swala ya Eid El Fitri iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Muslim Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment