KAMPUNI YA BAKHRESA YAFANIKISHA UPANDAJI MITI 2000 HOSPITALI YA MIREMBE DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 3 May 2022

KAMPUNI YA BAKHRESA YAFANIKISHA UPANDAJI MITI 2000 HOSPITALI YA MIREMBE DODOMA

Mkurugenzi wa Sheria na Utawala wa Kampuni ya Bakhresa Group, Shani Mligo  akiwa miongoni mwa waliopanda miti katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili ya Mirembe Dodoma Aprili 30, 2022.

Kampuni hiyo imedhamini upandaji miti zaidi ya 2000 kupitia Taasisi ya Habari Development.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa DodomaAhadi Sinene akipanda mti eneo la Hospitali ya Mirembe. Sinene alimwakilisha aliyetakiwa kuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri.

Upandaji miti ukiendelea Mirembe.

Baadhi ya wanafunzi wakishiriki upandaji miti.

Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa wakipanda miti.



                                             
Waandishi wa habari wakishiriki kupanda miti. Kushoto ni Shaban Tolle wa ITV na Joyce Kasiki wa  Majira.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari Development, Bernard James (aliyevaa shati la bluu katikati) akiwa na Mkurugenzi wa  Sheria na Utawala wa Kampuni ya Bakhresa Group, Shani Mligo, viongozi wengine wa Jiji la Dodoma pamoja na askari wa JKT.






No comments:

Post a Comment