RAIS DK. ALI MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA HAYATI SHEIKH. AMANI KARUME - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 5 April 2022

RAIS DK. ALI MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA HAYATI SHEIKH. AMANI KARUME

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa shindano la Isha Mwanafunzi kutoka Skuli ya Michakaeni Pemba wa Darasa la 6  Halima Abaas Juma, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya Karume Zanzibar.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe Stephen Wasira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume lililofanyika Kampasi ya Karume Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesaho ya Wanafunzi Wabunifu wa Chuo hicho, kabla ya kulifungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume lililofanyika katika Kampasi ya Karume Zanzibar Bububu leo 5-4-2022.

No comments:

Post a Comment