PROF. MBARAWA AKAGUA MIRADI RELI, ATCL NA TPA JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 2 March 2022

PROF. MBARAWA AKAGUA MIRADI RELI, ATCL NA TPA JIJINI DAR

 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa wataalam wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) alipokagua eneo itakapojengwa reli inayoingia bandarini jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa wataalam wa reli alipokagua eneo itakapojengwa reli inayoingia bandarini jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Eng. Ladislaus Matindi akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa alipokutana na Bodi na Menejimenti ya Kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Eng. Ladislaus Matindi akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokutana na Bodi na Menejimenti ya Kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Prof. Neema Mori akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia) alipokutana nao leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) alipokutana nao leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment