MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA UONGOZI WA NMB BANK - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 24 January 2022

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA UONGOZI WA NMB BANK


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB, ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna (wa kwanza kulia kwa rais). 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya NMB mara baada ya mazungumzo yao.

Picha ya pamoja ya Uongozi wa Benki ya NMB.

No comments:

Post a Comment