Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohame Shein akizungumza wakati wa akizindua sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM. |
Vijana wa halaiki wakitumbuiza kwa nyimbo na kuandika mambo mbalimbali wakati wa sherehe za Ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. |
Wananchi na wageni waalikwa wakiwa katika tukio la Ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM iliyofanyika katika viwanja vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. |
Vijana wa halaiki wakitumbuiza kwa nyimbo na kuandika mambo mbalimbali wakati wa sherehe za Ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. |
Viongozi mbalimbali wakiwa katika tukio la Ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM iliyofanyika katika viwanja vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. |
Viongozi mbalimbali wakimlaki Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili katika viwanja vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. |
Dk. Shein akiwasili katika Viwanja Vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, katika sherehe za ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya CCM. |
No comments:
Post a Comment