KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU -RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWATEMBELEA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA PAMOJA NA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 2 December 2021

KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU -RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWATEMBELEA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA PAMOJA NA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021. 



No comments:

Post a Comment