RAIS MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO WA 20 WA TAASISI ZA KIFEDHA NCHINI LEO TAREHE 25 NOVEMBA 2021 JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 25 November 2021

RAIS MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO WA 20 WA TAASISI ZA KIFEDHA NCHINI LEO TAREHE 25 NOVEMBA 2021 JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.

Washiriki wa Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma na Rais.

No comments:

Post a Comment