Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimvalisha bawa 2lt. Ibrahim Joseph Mwamboli kuashiria kuhitimu kozi ya Urubani kati ya Maafisa wapya wanafunzi 56 wa JWTZ katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifunga mafunzo kwa wahitimu wapya katika ngazi ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika masomo ya kiraia kwa Wahitimu 61 wa JWTZ katika Mahafali ya pili ya Chuo cha Uhasibu yaliyofanyika Monduli mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wapya katika ngazi ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika masomo ya kiraia katika Mahafali ya pili ya Chuo cha Uhasibu Monduli Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.
Wananchi na wageni wakifuatilia sherehe za kuwatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi kundi la 02/18 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.
Sherehe za kuwatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi kundi la 02/18 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.
Maafisa wapya wa JWTZ katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimvalisha bawa Slt. Asnat Rashid Akbar kuashiria kuhitimu katika kozi ya Urubani kati ya Maafisa wapya wanafunzi 56 wa JWTZ katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Military Academy-TMA) mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika masomo ya kiraia kwa Wahitimu 61 wa JWTZ katika Mahafali ya pili ya Chuo cha Uhasibu yaliyofanyika TMA Monduli mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba, 2021.
WAZIRI DKT. CHANA ATETA NA UWT LUDEWA
-
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe Mhe.
Balozi, Dkt. Pindi Chana, Januari 11 2025 ameshiriki katika Baraza la Umoja
wa W...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 12, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 12,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini...
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
-
KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi
kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua
Progra...
No comments:
Post a Comment