ENG. KASEKENYA AKAGUA MAANDALIZI WIKI YA USALAMA BARABARANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 23 November 2021

ENG. KASEKENYA AKAGUA MAANDALIZI WIKI YA USALAMA BARABARANI

Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira  Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Kashinde Musa akifafanua jambo kwa Mwenyekiti mwenza wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eng. Godfrey Kasekenya (Kulia), alipokagua maandalizi ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa yanaadhimishwa katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid mjini Arusha. (Kushoto), ni mtaalam wa TEHEMA wa Wizara hiyo Bw, Simon Chagula akifuatilia.

Mwenyekiti mwenza wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eng. Godfrey Kasekenya akipata maelezo kuhusu masuala mbalimbali ya usalama barabarani alipokagua banda la Jeshi la Polisi ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa yanaadhimishwa katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid mjini Arusha. Kushoto kwa Eng. Kasekenya ni Kamishna wa Polisi wa Kamisheni ya Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas akifuatilia.

No comments:

Post a Comment