SERIKALI YAPIGILIA MSUMARI MAADILI UANDISHI WA HABARI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 2 October 2021

SERIKALI YAPIGILIA MSUMARI MAADILI UANDISHI WA HABARI

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Dar es Salaam Mhandisi Elisony Mweladzi, wakati akikagua maendeleo ya upanuzi wa barabara ya Kimara – Kibaha (km 19.2) kuwa njia nane, jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, akisalimiana na wakandarasi na wasimamizi wa mradi wa upanuzi wa barabara ya Kimara – Kibaha (km 19.2) kuwa njia nane, jijini Dar es Salaam.

Muonekano wa barabara ya Morogoro (Kimara - Kibaha) kilometa 19.2 baada ya kupanuliwa na kuwa njia nane ambapo kwa sasa ujenzi wake umefikia asilimia 94.

Muonekano wa barabara ya Morogoro (Kimara - Kibaha) kilometa 19.2 baada ya kupanuliwa na kuwa njia nane ambapo kwa sasa ujenzi wake umefikia asilimia 94.

No comments:

Post a Comment