MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 3 October 2021

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAIFA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokutana leo Octoba 03,2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokutana leo Octoba 03,2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment