MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 22 September 2021

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la biashara duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021.

No comments:

Post a Comment