RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 20 June 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wahudumu wa Shirika la Ndege la ATCL mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo tarehe 20 June, 2021.



No comments:

Post a Comment