RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROFESA SINAIT FEISSENO MKURUGENZI WA MIRADI WA TAASISI YA SUZAN THOMPSON BUFFET IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 1 June 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROFESA SINAIT FEISSENO MKURUGENZI WA MIRADI WA TAASISI YA SUZAN THOMPSON BUFFET IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Mkurugenzi wa Miradi wa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 31 Mei, 2021.


No comments:

Post a Comment