BUNGE LAPITISHA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 23 June 2021

BUNGE LAPITISHA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22

 

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu hoja wakati wa kuhitimisha mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh. trilioni 36.66 kabla ya Bunge kuidhinisha Bajeti hiyo Bungeni jijini Dodoma.



Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) baada ya kuhitimisha kujibu hoja za wabunge kuhusu mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2021/22, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment