MATARAJIO YA HALI MBAYA YA HEWA KWA SIKU TANO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 12 April 2021

MATARAJIO YA HALI MBAYA YA HEWA KWA SIKU TANO

 ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na Tanga pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA

KUTOKEA: WASTANI





Athari zinazoweza kujitokeza

Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na

ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji.

Tafadhali zingatia na ujiandae

No comments:

Post a Comment