TIGO GREEN FOR KILI - MITI 10,000 KUPANDWA KATIKA WILAYA YA HAI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 12 February 2021

TIGO GREEN FOR KILI - MITI 10,000 KUPANDWA KATIKA WILAYA YA HAI

Henry Kinabo - Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini.  
“TUMEDHAMINI #TigoKiliHalfMarathon kwa kipichi cha miaka sita mfululizo sasa hivyo tumeona ni vyema kurudisha kwa jamii kwa kushikiriana na @voewofo kupanda miti 10,000 itayochangia kulinda theruji ya Mlima Kilimanjaro”
 #TigoGreenForKili #TigoKiliHalfMarathon2021

Henry Kinabo - Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini. 
 
“TUNATAMBUA umuhimu wa Mkoa wa Kilimanjaro katika uchangiaji wa uchumi na ustawi wa nchi yetu kwa ujumla.
Tunayo furaha kushikirikiana na taasisi ya @voewofo kupanda miti 10,000 katika wilaya ya Hai na Siku moja kabla ya mbio za #TigoKiliHalfMarathon2021 tutazindua zoezi zima la upandaji miti hii ya #TigoGreenForKili

Asifiwe James - Mkurugenzi @voewofo
“TUNASHUKURU sana @tigo_tanzania kwa kutuamini sisi kutunza miti hii 10,000 ambayo tutahusika kusimamia upandaji na utunzaje wake katika wilaya hii ya Hai.”

Benson Ndosi - Mwenyekiti wa Kitongoji cha Maiputa, Wilaya ya Hai.  

“TUNASHUKURU sana kwa ujio wa @tigo_tanzania na taasisi ya @voewofo kwa kutufikia na mradi huu wa #TigoGreenForKili kuleta miti 10,000 na zoezi hili lina tija sana kwenye eneo hili la Boroti.

Nawaomba wananchi wajitokeze kwa ajili ya kushiriki #TigoGreenForKili ili tuendelee kuutunza Mlima Kilimanjaro”

TIGO GREEN FOR KILI - Miti 10,000 kupandwa katika Wilaya ya Hai, pembezoni mwa Mlima Kilimanjaro ili kusaidia kurudisha theruji ya Mlima mrefu zaidi barani Afrika #TigoGreenForKili kwa ushirikiano na taasisi ya @voewofo ikiwa kama sehemu ya kurudisha kwa jamii ambayo Tigo imeshirikiana nayo kwa miaka sita mfululizo kupitia udhamini wa mbio za #TigoKiliHalfMarathon

No comments:

Post a Comment