Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Nanasi alilopewa katika eneo la Kiwangwa Bagamoyo mkoani Pwani wakati akielekea mkoani Tanga katika Mikutano ya Kampeni za Urais kwa upande wa CCM leo tarehe 19 Oktoba 2020.
![]() |
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kabuku Handeni Vijijini mkoani Tanga mara baada ya kuwasili wakati akitokea mkoani Pwani tarehe 19 Oktoba 2020. |
![]() |
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kijana Fadhil Amiri mfugaji wa Bata Mzinga katika kijiji cha Kwemkonga Handeni Vijijini. Mfugaji huyo alimzawadia Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli Bata Mzinga.
![]() |
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Michungwani mkoani Tanga leo tarehe 19 Oktoba 2020.
![]() |
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Michungwani mkoani Tanga leo tarehe 19 Oktoba 2020. |
![]() |
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Michungwani mkoani Tanga leo tarehe 19 Oktoba 2020. |
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kabuku Handeni Vijijini mkoani Tanga mara baada ya kuwasili wakati akitokea mkoani Pwani leo tarehe 19 Oktoba 2020.









No comments:
Post a Comment