TMA YATOA WARSHA KWA WANAHABARI KUHUSU MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI...! - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 20 October 2020

TMA YATOA WARSHA KWA WANAHABARI KUHUSU MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI...!

Mtaalam wa Hali ya Hewa toka TMA (kushoto) akiwasilisha mada kwenye warsha kwa wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka kwa kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba, 2020.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa warsha kwa wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka kwa kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba, 2020.

Mtaalam wa Hali ya Hewa toka TMA akisisitiza jambo kwenye warsha kwa wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka kwa kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba, 2020.

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agnes Kijazi (kushoto) akizungumza kwenye warsha kwa wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka kwa kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba, 2020.

No comments:

Post a Comment