MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK MAGUFULI AUNGURUMA MWANGA NA HIMO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 21 October 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK MAGUFULI AUNGURUMA MWANGA NA HIMO

 



Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amemshika mkono Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Vunjo Charles Kimei mara baada ya kumuombea Kura kwa wananchi wa Himo. 


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustine Mrema mara baada ya kuwasili Himo mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.



Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha Kofia ya CCM Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustine Mrema mara baada ya kuwasili Himo mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.



Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Himo katika Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuwasili wakati akitokea Same mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni Oktoba 21, 2020.


Maelfu ya wananchi wakiwa tayari kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Jumatano Oktoba 21, 2020.


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee David Cleopa Msuya wakimsikiliza mgombea Ubunge jimbo la Mwanga Mhe. Joseph Tadayo katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga Oktoba 21, 2020.


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu Mstaafu Mzee David Cleopa Msuya alipokuwa akimkaribisha na kuongea machache Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni Oktoba 21, 2020.


No comments:

Post a Comment