MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KAWE, AFUNGA KAMPENI ZAKE DAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 14 October 2020

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KAWE, AFUNGA KAMPENI ZAKE DAR

Wananchi wa Jimbo la Kawe wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mkutano wa Tanganyika Packers kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe, Kinondoni mkoani Dar es Salaam tarehe 14 Oktoba 2020.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kawe Bishop Josephat Gwajima katika viwanja vya Tanganyika Packers eneo la  Kawe jijini Dar es salaam wakati wa  mkutano wake wa mwisho wa kampeni mkoani humo Oktoba 14, 2020.

Add caption

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Jimbo la Kawe leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Jimbo la Kawe leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Wananchi wa Jimbo la Kawe wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mkutano wa Tanganyika Packers kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Wananchi wa Jimbo la Kawe wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mkutano wa Tanganyika Packers kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe, Kinondoni mkoani Dar es Salaam leo tarehe 14 Oktoba 2020.

No comments:

Post a Comment