MGOMBEA URAIS CCM, AKIHUTUBIA WANANCHI MAFINGA NA MAKAMBAKO - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 30 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM, AKIHUTUBIA WANANCHI MAFINGA NA MAKAMBAKO


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Mafinga kwa ajili ya kuwahutubia wakazi wa eneo hilo wakati akitokea mkoani Iringa




Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Makambako mjini kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Makambako leo tarehe 29 Septemba 2020.


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha Kofia Bibi aliyefahamika kwa jina moja Bibi Zainabu mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mafinga mkoani Iringa.



Sehemu ya Wananchi wa Makambako waliohudhuria mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Septemba 2020 Makambako mjini.





Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Mafinga mara baada ya kumaliza kuwahutubia leo tarehe 29 Septemba 2020.


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mafinga mkoani Iringa wakati akielekea Makambako mkoani Njombe katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020




Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mafinga mkoani Iringa wakati akielekea Makambako mkoani Njombe katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020

No comments:

Post a Comment