Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kayanga, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura).
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akipiga magoti ya kuwaomba wananchi wa jimbo la Karagwe kupigia kura wagombea wote wa Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura).
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kata ya Kayanga, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura).



No comments:
Post a Comment