IRINGA MJINI YAZIZIMA NA DK. MAGUFULI, NI KAMPENI ZA CCM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 28 September 2020

IRINGA MJINI YAZIZIMA NA DK. MAGUFULI, NI KAMPENI ZA CCM

Wananchi wa Iringa mjini wakiwa wamefurika katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kuwasili wakati akitokea jijini Dodoma tarehe 28 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi wa Iringa mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM leo tarehe 28 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Iringa Mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM uliofanyika tarehe 28 Septemba 2020 katika uwanja wa CCM Samora.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi wa Iringa mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM leo tarehe 28 Septemba 2020.

Wananchi wa Iringa mjini wakiwa wamefurika katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kuwasili wakati akitokea jijini Dodoma tarehe 28 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment