RAIS DK MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 16 July 2020

RAIS DK MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU, DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Joseph Joseph Mkirikiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.


Viongozi mbalimbali walioteuliwa mstari wa mbele wakiwa wanasikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali katika hafla fupi ya Uapisho wa Viongozi hao iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Wakuu wa Mikoa mbalimbali walipokuwa wakiwaapisha Wakuu wa Wilaya zao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.


Viongozi mbalimbali wakila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma     PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment