DKT KIGWANGALLA AANZA KUPOKEA WATALII TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 2 June 2020

DKT KIGWANGALLA AANZA KUPOKEA WATALII TANZANIA

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa  KIA. 

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (kulia) wakipokea baadhi ya watalii waliowasili na kukamilisha taratibu mbalimbali walipowasili uwanja wa KIA.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa  KIA.  

Baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa  KIA.  

No comments:

Post a Comment