BENKI YA NMB YAKABIDHI VIFAA MBALIMBALI VYA KUJIKINGA DHIDI YA JANGA LA CORONA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 2 June 2020

BENKI YA NMB YAKABIDHI VIFAA MBALIMBALI VYA KUJIKINGA DHIDI YA JANGA LA CORONA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbali mbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa Tawi la NMB Mtwara, Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.

No comments:

Post a Comment